Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mechi ya Orlando niliacha kuangalia dakika ya 89 lakini dakika ya 90 Mwarabu akafa!Siangaliiiii tena huu mpira wacha niishie hapa tu
Mechi ya Orlando niliacha kuangalia dakika ya 89 lakini dakika ya 90 Mwarabu akafa!Siangaliiiii tena huu mpira wacha niishie hapa tu
Hahaha kwanini mkuu? Game yenu hii.Nimebana pumbu vyakutosha nisije nikaji hasi bure
Mwiko unawasumbua.Penalt kakosa stelebochi rufaa wanakata utopolo
Mkuu kwenye hii mechi mi nimeishia hapo niliposema.Mechi ya Orlando niliacha kuangalia dakika ya 89 lakini dakika ya 90 Mwarabu akafa!
Rahisi kuwaona hivyo kwasababu wanacheza na Simba.Hawa jamaa hata wakicheza na coastar union wanakula 6
Mbona hakuna hatari za hivyo mkuu. Punguza presha. Fadlu mzee wa mbinu.Nimebana pumbu vyakutosha nisije nikaji hasi bure
Bahati ya nyoko. Ile penati ya Simba ya kipindi cha kwanza hukuiona?Bahati yetu Simba sisi shabhaaash!
Niache 😅😅😅😅😅😅Weee nawe....noble vipi mlishampa mkataba?
Mkuu leo hii akaunt umemkabidhi nani?Penati bana
Tumeishaaa