Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa kweli presha ni kubwa sana!Kiukweli nimeshindwa ku handle hiyo hali.
Kwa kweli presha ni kubwa sana!Kiukweli nimeshindwa ku handle hiyo hali.
Medali tupa kuleMjikute tu🙄!
Endeleeni kuangalia mi nimevaa earpods nakula zangu mziki huku sauti nimeweka hadi mwisho ili nisi bugdhiwe na visauti vya redio vya hapa mtaani vinavyotangaza mechi.Mbona hakuna hatari za hivyo mkuu. Punguza presha. Fadlu mzee wa mbinu.
Dunduka SC Hellow 🖐 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tulia wewe hawa sio Marumo
Kuna uwezekano tukapita Kama Tukizuia Mpaka MwishoEndeleeni kuangalia mi nimevaa earpods nakula zangu mzikihuku sauti mimeweka hadi mwisho ili nisi bugdhiwe na visauti vya redio vya mtaani vinavyotangaza mechi.
Hana bayaHuyu refa wa leo mzuri kwa kweli.
Let's hope soKuna uwezekano tukapita Kama Tukizuia Mpaka Mwisho
Mambo ya penati si option mkuu.Sasa Sijui kama Tutawaweza Hawa jamaa Kwa Penalti bora tuendelee Kukaza Hivi hivi tuchukue Ushindi wetu
Huwa simkubali sana Ateba, bora MukwalaDah, Mambo ya kukaa na mpira Ateba kidogo achome, kaamua kuvuta jezi.
Na badooooSiangaliiiii tena huu mpira wacha niishie hapa tu