Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Kachezeshe wewe.Wamenyimwa goli,offside gani hapo?
Kachezeshe wewe.Wamenyimwa goli,offside gani hapo?
Ubaya UbwelaGooool Gooool Gooool
Kulikuwa na dirishaHii mechi ina vipengele sana sijui kulikuwa na nini nyuma na pazia
Hakuna huo uwezo
Refariii 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮😒😒cheking Bahasha
Hutaki au hukubali?Offside gani tena mbona VAR yenyewe haionyeshi hiyo Offside wakuu ?
Kibu anapata mipira tatizo lake ni machenga yake mengi yasiyo na maana.Mechi muhimu bado hacheki kwa mipango.Tumezidiwa mkuu, Wapinzani wamefanya homework yao vizuri. Zuia mpira usipande kumfikia Mpanzu na Kibu kisha shambulia.
nilisikia kelele kubwa sana za kushangilia--- na huu mtaa ni yanga --- nikasema mnyama kawekwa hapa 🤣Duh Hiki ndo Nilikuwa Sikitaki Matuta Hatuwezi kabisa
Haki tumewaachia wewe na Lema mzipiganie kwa niaba yetu mkuu.Safi sana kenge wakubwa nyie simba na Yanga zinatumiwa kuwapumbaza watanzania wasidai haki zao Stelenboch piga kenge hao kodi zetu zinatumika kugawa goli la mama nonsense kabisa
Ndiyo hivyo!!Refariii 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮😒😒
itakuja kuonyeshwa tuOffside gani tena mbona VAR yenyewe haionyeshi hiyo Offside wakuu ?
Ubaya UbwelaWamenyimwa goli,offside gani hapo?
Mod ana mahaba na UtoHivi nyie kods mlikuwa na haraka gani ya kubadilisha ubao hapo juu? Muwe mnasikilizia kwanza bana, aagh
Goal limekataliwa na VAR bado ni bila bilanilisikia kelele kubwa sana za kushangilia--- na huu ni yanga --- nikasema mnyama kawekwa hapa 🤣
Akina sie Tutaweka wapi surazetu🤨 🤔🤔🤔🤔😁😁😁!!Hahaha dah me nachekaga tu
Na goli nalo limepaaImepaaa