Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Hovyo, mchawi weweGoooooollllll
Hovyo, mchawi weweGoooooollllll
Unafikiri hawa kama marefa wenu wa NBC ligi kuu mnaowapitishia vibahasha kabla ya mechi zenu utoRefariii 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮😒😒
Muingize Mama Samia achezeshe au Mchengerwa afanye kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa basi. 😁😁😁😁Wamenyimwa goli,offside gani hapo?
pale kaingilia mchezo lakin sio yeye aliegusa mpiraMstari umeshachorwa, Angalia aliyetoa pass ya kisigizo.
Maskini hana kiapo - Dotto MagariHapo Sasa. Mwaka Jana si walikataa kucheza Muungano?
Waarabu wasingekubali kunyimwa goli kizembe hivyoMuingize Mama Samia achezeshe au Mchengerwa afanye kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa basi. 😁😁😁😁
Huyu refa tutampa uraia wa Tanzania na tutamuozesha kabisa Kalpana 😁😁😄😄 kama tulivyofanya kwa Aziz Ki.
Kumbe wewe ndiye Mod? Basi tuliza mbupu hizo. Acha kiherehere.Hata kwenye TV ilishasoma acha lawama
Kwa niniLeo sitalala uwiii😁😁😁😁😊
Ussshuuuunguuuuu😔😔😔😔😔😔😔Unafikiri hawa kama marefa waenu wa NBC ligi kuu mnaowapitishia vibahasha kabla ya mechi zenu uto
Cheza na ww unufaike kwa wiziingekuwa aibu sana kwako una mechi zaidi ya 5 umenufaika kwa wizi