Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Vyura wamefurahia maji ya mferejini kumbe yanapita kwa muda ukame ni pale pale!
😂😂😂
😂😂😂
Mstari umeshachorwa, Angalia aliyetoa pass ya kisigizo.Offside hata mistari ya offside hawatuchorei
Jangwa lipo palepaleVyura walmefurahia maji ya mferejini kumbe yanapita kwa mda ukame ni pale pale!
😂😂😂
Acha VAR iwe inawaumbua na kimbelembele chaoHivi nyie mods mlikuwa na haraka gani ya kubadilisha ubao hapo juu? Muwe mnasikilizia kwanza bana, aagh
Hata kwenye TV ilishasoma acha lawamaModerator wa uzi huu ni Utopolo.
Kiherehere mkubwa.
ingekuwa aibu sana kwako una mechi zaidi ya 5 umenufaika kwa wiziOya hichi kidude tukifanyie mpango tujichange change tukinunue.
Ndio maana TFF walikuwa waoga kukiweka
Lumbe waligundua sio rahisi kumfunga Simba bila hichi kidude
View attachment 3317640
hatari sana haya mamboGoal limekataliwa na VAR bado ni bila bila
0-0 dk 81Leteni updates
Ubaya UbwelaKuna Nini,😂😂
Kibu ni tapeli.Kibu na chenga za akina Said Maulid SMG
Leo sitalala uwiii😁😁😁😁😊Ndiyo hivyo!!