Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Puliza filimbi ya goli basiHAKUKUWA NA OFFSIDE PALE! SEMA ALIYESHIKA MPINI AHESHIMIWE!
Puliza filimbi ya goli basiHAKUKUWA NA OFFSIDE PALE! SEMA ALIYESHIKA MPINI AHESHIMIWE!
AsanteSaa moja
🦁💪☝Ukisikia ubaya ubwela ndo huu.....No penalty for Simba
Offside kwa kina Stelaa atwaaa
Sio kirahisi hivyo maana nusu yao tu wamepiga mtu nne bila huyu wa leo alipigwa jumla naneIla atamfunga.
Anarudi kwa boti😎Kuna jamaa anasema kuna mwengine yupo pemba mkuu🤣
Bora Muungano kuliko takataka za shirikishoTulia wewe hakuna unachojua.
Kajadili mambo ya Muungano huko Zanzibar sio huku.
Loser yuko muungano kule kizimkazoTukubaliane kwanza hili ni kombe la lozer au tughairi?
Ulikuwa unaangalizia mpira kwenye kibuyu? Unabishana mpaka na replyHAKUKUWA NA OFFSIDE PALE! SEMA ALIYESHIKA MPINI AHESHIMIWE!
UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mamaSema kombe la msimbaziiiiii
Kombe la msimbaziiiiiii
Najaribu kuongea bila kuweka ushabiki. Mkicheza na Constantine ubingwa mnachukua ila hawa Berkane ni bahati pekee itawabeba. Timu yenu ina makosa mengi sana kule nyuma.Kombe lileeeee
Utake usitake tunakuleteea kikombe safari hiiSiangaliiiii tena huu mpira wacha niishie hapa tu
siyo kufyekwa, ni kung'oa kabisaKichaka cha Uto kimefyekwa
"Bora Muungano kuliko takataka za shirikishoBora Muungano kuliko takataka za shirikisho
Kombe la akina mama
Nyuma wapi kwenye mwiko?Najaribu kuongea bila kuweka ushabiki. Mkicheza na Constantine ubingwa mnachukua ila hawa Berkane ni bahati pekee itawabeba. Timu yenu ina makosa mengi sana kule nyuma.