Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
YANGA wameumia utadhani wamefungwa wao
Huko umamani hakuna bingwa ni madogo wa UMISETA tu"Bora Muungano kuliko takataka za shirikisho
Kombe la akina mama"View attachment 3317662
Kanunue kamba kwa mangi nitalipa.Unajua cha kufanya na hiyo kamba.Kichaka cha fainali kimekuwa round about.Tanzania tinatoa aibu, timu inaingia final na uwanja wa taifa mbovu umefungiwa na royal tour ililigharimu taifa mabilion ya shiliingi
Kombe la shirikisho 😂Mara paaaaap kombe limebaki Bongo, wataniua kwa raha
Hatunaga huo ujinga nyie chezeni mpira...Yanga anzeni kuleta mijadala kuwa Simba imeingia fainali kibahati!
UMISETA aibu tupu🦁🦁🦁🦁Simba 🦁Simba
💪💪💪💪Nguvu 💪Guvu
☝☝☝☝Moja ☝Moya
Unyukwe wewe siyo sumbaKilichobaki ni simba kushinda game ya nyumbani ila kuhusu ubingwa tuwe wakeli hatuwezi wale jamaa wana pace na skills hata leo Constantine anaweza nyukwa tena
Kichaka Cha fainali ya SHIRIKISHO tumekifyeka rasmi!Hatunaga huo ujinga nyie chezeni mpira...
Yani hata NBC, CRDB tusichukue ila zitapotoka statistics za watu wenye furaha, sisi tutakuwa tunaongoza dhidi ya hao waliochukua hivyo vikombe.Mara paaaaap kombe limebaki Bongo, wataniua kwa raha
Kauli mbinu ya daima mbele mwiko nyuma inatokea wapi mwakakundiUkisokomezwa wewe Mamaangu Kipenzi Laazizi wa ubavu wa moyo wangu unatosha sana Makolokolo 😂
Ubinadamu ni kazi The humanity is work