FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Yani hata NBC, CRDB tusichukue ila zitapotoka statistics za watu wenye furaha, sisi tutakuwa tunaongoza dhidi ya hao waliochukua hivyo vikombe.

Na huo utakuwa mwanzo wa mvurugano ndani ya Club yao. Kiufupi watapoteana.

Tumefika hii hatua tunaona kabisa ndoo ile pale....weeee huo mpira wake ni Barcelona+Liverpool+Madrid.
Madrid wenzako waliziba hadi uwanja juu na bado wakachenyetwa kwao.
 
Hata ukioga mjini huendi
1000272524.jpg
 
Wamekutana wote level moja. Hongera kwao ila kiukweli Simba wajiangalie sana hii timu (Stellen) ingekua makini au kongwe ingekutumia makosa ya Simba kunufaika. Simba kuna muda wanafunguliwa upepo na wanabaki wazi.
 
Ungeugulia maumivu kimya kimya tu mkuu hukuwa na haja ya kuanzisha uzi
 
Mbumbumbu wanasherehekea UMISETA
5imba kushiriki mashindano ya akina mama ni aibu Kwa taifa
We jamaa sijui una roho pea mbili?

Maana Gongowazi wenzako wote wamechutama umebaki wewe tu
images (3)~2.jpeg
 
Back
Top Bottom