FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Kama kawaida yangu, Nilisema SSC hamfiki Final ….. Natengua kauli sambamba na kuomba rachi na ninaungana na Watanzania for the good fight.
Yanga tulifika huko, hivyo sio kitu cha ajabu kama TAIFA but ni kitu cha ajabu kama timu ya Simba.

Je Mtawaweza Berkane ? Bado mnatimu ya kusua sua but HONGERENI
 
Huko umamani hakuna bingwa ni madogo wa UMISETA tu
Ndo maana Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya akina mama
Sasa stress za nini?
20250210_211429.jpg
 
Back
Top Bottom