FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

We jamaa sijui una roho pea mbili?

Maana Gongowazi wenzako wote wamechutama umebaki wewe tuView attachment 3317673
Unachutama kwa jambo gani jipya hapo?

Chukuwa kombe hilo ndio litakuwa jipya na uvimbe mpaka upasuke.

FB_IMG_1744347975801.jpg
FB_IMG_1744347948044.jpg
 
Hamjambo watani zangu Bantu Lady Shadeeya ngara23 na wengine.

Nilikuwa bize kidogo nafyeka vichaka vya kutafuta kikombe cha akina mama bahati nzuri nimekuta na CHURA akiwa Gongowazi hana pa kujificha😎😎

Nina zawadi zenu hapa
👠👠👠👠👠👠👠👠
🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸
Tupo na raha tele, sisi tulifika fainali ya magiant siyo hii yenu ya shirikisho la kitoto. 😅😅😅😅😅
 
Unachutama kwa jambo gani jipya hapo?

Chukuwa kombe hilo ndio litakuwa jipya na uvimbe mpaka upasuke.

View attachment 3317675View attachment 3317676
Ulicheza na nani wakukufanya uvimbe?

Ulicheza na nani wakukufanya uwe na confidence mbele za watu?

Ulicheza na nani wakukufanya ujione upo level sawa na Simba?

Majibu ya maswali hayo ndio yanayotoa sababu za kwanini unapaswa uchutame
 
Kama kawaida yangu, Nilisema SSC hamfiki Final ….. Natengua kauli sambamba na kuomba rachi na ninaungana na Watanzania for the good fight.
Yanga tulifika huko, hivyo sio kitu cha ajabu kama TAIFA but ni kitu cha ajabu kama timu ya Simba.

Je Mtawaweza Berkane ? Bado mnatimu ya kusua sua but HONGERENI
Umdhaniaye ndie kumbe sie , tumeshaandaa pa kuliweka kombe letu
 
Back
Top Bottom