Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,270
- 3,623
Mwiko upo nyuma umenasia mbele daima
Unapenda 'kusokomezwa' eenh?!Swali kwa madunduka SC je mtauweza mziki wa fainali? Naombeni ratiba maana hiyo siku, tutahesabu mtakavyosokomezewa magoli, mtagawana kuanzia viongozi hadi mashabiki.
Timu kubwa IPO kimataifa kuwakilisha nchi nyie hangaikeni na akina noble na kmcYoung Africans ni timu kubwa sio kama 5imba
Vichaka vinaungua.Unachutama kwa jambo gani jipya hapo?
Chukuwa kombe hilo ndio litakuwa jipya na uvimbe mpaka upasuke.
View attachment 3317675View attachment 3317676
Hii ni ile mida ya kuchanganyikiwa.Fainali ipi ya magiant jaman? Si ilikua shirikisho Ile ama 😂😂😂
Tatizo mashabiki wa Simba hatutumii hiyo 'kitu'. Ipeleke kwingine.Group stage ya CAFCL ina hadhi kubwa kuliko hata bingwa wa UMITASHUMITA yenu
Kama mizengwe ya Leo tu.Wananzengo tujurishane mechi ya Fainali ya pili itachezwa wapi?
Kama inachezwa kwa RS Berkane basi CAF wana mizengwe.
Hiyo ya magiant mlifika lini?Tupo na raha tele, sisi tulifika fainali ya magiant siyo hii yenu ya shirikisho la kitoto. 😅😅😅😅😅
😡😡😡😡😡😡😡😡😡Swali kwa madunduka SC je mtauweza mziki wa fainali? Naombeni ratiba maana hiyo siku, tutahesabu mtakavyosokomezewa magoli, mtagawana kuanzia viongozi hadi mashabiki.
Tulia dakika 180 zitaongea zenyewe.Simba bado sana,Berkane wapewe kombe lao.Simba hataweza kuhimili vishindo vya wale jamaa.Kama hawa Stella tu wamewahenyesha hivi!
Berkane wanapiga mpira wa hatari,na mbaya zaidi Simba anaanzia nyumbani.
Sawa,ila simba ijipange sn sn mkuTulia dakika 180 zitaongea zenyewe.
Mmehamia kwa Berkane sio ?...Yanga tulifika huko, hivyo sio kitu cha ajabu kama TAIFA but ni kitu cha ajabu kama timu ya Simba.
Je Mtawaweza Berkane ? Bado mnatimu ya kusua sua but HONGERENI
We mtaniTupo na raha tele, sisi tulifika fainali ya magiant siyo hii yenu ya shirikisho la kitoto. 😅😅😅😅😅
Aisee unahangaikaSimba bado sana,Berkane wapewe kombe lao.Simba hataweza kuhimili vishindo vya wale jamaa.Kama hawa Stella tu wamewahenyesha hivi!
Berkane wanapiga mpira wa hatari,na mbaya zaidi Simba anaanzia nyumbani.
Naamini ndivyo itakavyofanya na kombe linakuja Tanzania.Sawa,ila simba ijipange sn sn mku
Timu kubwa hazichezi shirikishoTimu kubwa IPO kimataifa kuwakilisha nchi nyie hangaikeni na akina noble na kmc