Malumo alikuwa bingwa wa wap we nguchiroCAFCC alicheza Yanga zilikuwepo timu bingwa
Ila hii UMISETA hakuna bingwa hata wa Somalia
Hiyo group stage ya CAFCL Simba kacheza mara ngapi?Group stage ya CAFCL ina hadhi kubwa kuliko hata bingwa wa UMITASHUMITA yenu
Mabingwa walioshindwa mitihani ya darasa la saba waka resit darasa la sita.😆CAFCC alicheza Yanga zilikuwepo timu bingwa
Ila hii UMISETA hakuna bingwa hata wa Somalia
iMAKOLOOOOOOO.....OUT[emoji23][emoji23][emoji23]
KWISHA HABARI YAO[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu mtoto amefanana kabisa na utopolo huko waliko😁😁Kwa hiyo tumekubaliana zile kelele kuwa sisi tuna medali leo ndio zimefika mwisho??View attachment 3317694
...🤣🤣🤣Baada ya mpira kuisha humu ndani mambo yatakuwa kama hivi:
Nyuzi nyingi zitaanzishwa za kukosoa, makasiriko.
Kuna mashabiki wa timu fulani, watautelekeza uzi.
#magolimawiliyapohewani#
Sasa ulitaka Yanga bingwa acheze vip shirikisho, mashindano ya timu dhaifu kama 5imba na Coast unionMabingwa walioshindwa mitihani ya darasa la saba waka resit darasa la sita.😆
Mabingwa halisi hawakuishia makundi bali waliendelea hadi robo, nusu na fainali.
Msimu huu CAF wakasema utaratibu wa timu ku resit haupo ukifeli mitihani yako unarudi nyumbani ndiyo maana leo mpo Zanzibar mnacheza nusu fainali ya Muungano na kina JKU😆
Bahati mbaya villingia na vitimu vidogo vikaishia MwamakundiTimu kubwa hazichezi shirikisho
Timu ndogo ndo zipo UMISETA
Msimu huu kwanini atambe na UMISETAHiyo group stage ya CAFCL Simba kacheza mara ngapi?
Marumo alikuwa kama 5imbaMalumo alikuwa bingwa wa wap we nguchiro
Ahsante sana Mama Watoto wangu Kipenzi 😅Pole nyuma mwiko
😃😀😀Swali kwa madunduka SC je mtauweza mziki wa fainali? Naombeni ratiba maana hiyo siku, tutahesabu mtakavyosokomezewa magoli, mtagawana kuanzia viongozi hadi mashabiki.
Unaitoa marumo anayeshika daraja na rivers aliyejifia unajiona Bora ,unashindwa kupata goli moja dhidi ya mc alger ,huyu ni mnyama kwenye mechi za namna hiyo tunajua kuzicheza ,ukikutana na mc alger waulize wangekuwa wanacheza na Simba atmosphere inakuwaje .Timu kubwa hazichezi shirikisho
Timu ndogo ndo zipo UMISETA
shida hizi comments mnazisoma mkihisi tunaandika kwa chuki. Huu ndio uhalisia Stellen hawakua makini kutumia nadasi zao vizuri. Ukikutana na timu more advanced inakuadhibu kwa zile nafasi mlizokua mnaachia.Inge, inge, inge. Ni nyimbo nzuri mkuu.
Acha kufikiri kupitia upumbavu inamaana ukoo wenu wote ni Makolokolo piwa?Tumetumia mbinu yenu ya bahasha mnayoitumia ligi kuu ...imetupeleka fainali...Sasa mtaongea nini mbwa nyie mlikua mnaongea Hadi mnatema mate kua mna medali ya CAF...sasahivi mnakuja na lipi?
Mbona mlipigwa na jwaneng?Unaitoa marumo anayeshika daraja na rivers aliyejifia unajiona Bora ,unashindwa kupata goli moja dhidi ya mc alger ,huyu ni mnyama kwenye mechi za namna hiyo tunajua kuzicheza ,ukikutana na mc alger waulize wangekuwa wanacheza na Simba atmosphere inakuwaje .