FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FB_IMG_17457315471964502.jpg
 
Wait a minute,kumbe hamjawahi kufika fainali mkuu?nilidhani nyie wazee wa historia na kimataifa daily mshalibeba hilo kombe
Watakuwa walishafika 1993 ila wanadai ni muda mrefu wengine walikuwa hawajazaliwa. Wanadai ni sawa tu na zile goli 5 tunazoshangilia kama mataahira wakati wao walishatutandika mara mbili na kisha wakatupiga 6. Ila ni zamani sasa na mavi ya kale hayanuki😎
 
Sisi kama SIMBA FANS tuko kwenye usafiri tunatoka Johannesburg tunaelekea Durban kui_support timu yetu.
safari hii mbona sijaona uhamasishaji wa kwenda bondeni kwa kiwango kikubwa? -- au hofu imeingia?
 
safari hii mbona sijaona uhamasishaji wa kwenda bondeni kwa kiwango kikubwa? -- au hofu imeingia?
We mwenyewe hapo ukiambiwa kwenda Pemba tu hapo kwenye nusu fainali ya kombe letu la Muungano unaanza kupiga kelele za chura. Itakuwa wao kwenda bondeni?🤣
 
We mwenyewe hapo ukiambiwa kwenda Pemba tu hapo kwenye nusu fainali ya kombe letu la Muungano unaanza kupiga kelele za chura. Itakuwa wao kwenda bondeni?🤣
ni kweli mkuu--- lakini naongelea ile general mkuu -- kulipa kama ile ya yanga walivomfata mamelodi -- full waandishi hatua kwa hatua


mimi binafsi hata kwa mkapa sijawahi ingia -- nasapoti timu kwenye TV - Radio - na kwa uchache majukwaani 🤣
 
Baada ya mpira kuisha humu ndani mambo yatakuwa kama hivi:

Nyuzi nyingi zitaanzishwa za kukosoa, makasiriko.
Kuna mashabiki wa timu fulani, watautelekeza uzi.

#magolimawiliyapohewani#
 
Ila mwasibu bana, sijataja timu ushaanza madislike!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani umeona hiyo timu, inauelekeo na madunduka? 😜
Haya OKW BOBAN SUNZU njoo ongeza na hapa dislike.
 
Wale wazee wa kuahidi ban Simba ikifungwa naona nyege zimewaisha baada ya kuliwa kimasihara kila wakileta janja..
 
Back
Top Bottom