FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Nawatakia kila la kheri Simba washinde mchezo wao ili kusaidia kupaisha jina l a nchi yetu. Ila wakishindwa nitakwenda pembeni kufurahi chinini watu wasijue kuwa nimefurahi pia kwa ajili ya utani wetu wa jadi.
 
Sisi Wana stellen Bosch tunasema hii tunavukaaa

Hatuishiii hapa
 
Kila la kheri Simba.
Fanyeni kitu vijana kwa furaha ya nchi.
Ubaya Ubwela 💪
 
Ingawa mimi ni shabiki lia lia wa Simba! Ninaitakia ushindi timu ya Stellenbosch ili tuwahi tu kurudi kuja kula viporo vyetu, kabla havijachacha kabisa.
Sisi tupo zetu nusu fainali Unguja na Pemba. Hayatuhusu🤣🤣🤣😆
 
Back
Top Bottom