FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Nawatakia kila la kheri Simba washinde mchezo wao ili kusaidia kupaisha jina l a nchi yetu. Ila wakishindwa nitakwenda pembeni kufurahi chinini watu wasijue kuwa nimefurahi pia kwa ajili ya utani wetu wa jadi.
Uaijibane, shangilia tu.
 
Haya mamipira ya bongo matakataka ndio yanawafanya wengi wawe mambumbumbu wasidai utawala bora haki au tume huru au katiba mpya, yamekalia simba na Yanga bora yafungwe leo akili ziwakae sawa
 
ukidai wewe inatosha.
mimi ni ccm unataka nidai nini?sio kila mtu ni chadema
 
Haya mamipira ya bongo matakataka ndio yanawafanya wengi wawe mambumbumbu wasidai utawala bora haki au tume huru au katiba mpya, yamekalia simba na Yanga bora yafungwe leo akili ziwakae sawa
Daah, mkuu kulikoni hasira😎

Usilazimishe watu wafikiri kama unavyopenda wafikiri. Kila mtu na kipaombele chake. Wengine pombe, wengine mademu nk. So pambana kivyako mzae
 
Back
Top Bottom