Ulitabiri itanyesha mvua.
Watu wanasubiri huo muda ufike waione mvua ikinyesha wakupe maua yako kwa utabiri wako kutimia.
Sasa wewe baada ya huo muda kupita na mvua haijanyesha unaanza kujitetea "lakini kulikuwa na mawingu mawingu ya mvua"
Mawingu ya mvua sio mvua. Utabiri haukusema mawingu ya mvua ulisema mvua.
Utabiri wako ulisema magoli mawili haukusema magoli mawili yatayokataliwa.
And for the records kwanza hakuna magoli mawili yaliyofungwa. Kuna goli moja tu lililofungwa (ambalo sio halali)
Hizo incidents zingine ni penati ambazo hakukuwa na uhakika kuwa wangefunga hususan pale tunaporejea records za Camara kwenye penati.
Lakini fact nyingine inayopingana na ubashiri wako ambao ni butu, kumbuka hata Simba alikuwa na tukio la penalti. Kwa hiyo sio goli mbili tena hapo ni tatu.
Hapo inatupa conclusion kuwa Simba kufika fainali ilikuwa ni jambo ambalo haliepukiki hata tukiweka assumptions ya hizo tabiri zako za Simba kufungwa bao 2 bado naye Simba angefunga bao 1 kupitia ile penati iliyosababishwa na Kibu.
So Simba angepita kupitia Aggregate ya goli la ugenini.
Kupitia tabiri yako kuwa mbovu katika namna zote nimeamua nikuvue vyeo
View attachment 3317787