FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Wale wataalamu wa kikokotoo ni wakati sasa mtuwekee mahesabu ya simba kuhusu yafuatayo:

1. Kwa kunusa fainali ya cafcc, mnyama atatia kibindoni mkwanja kiasi gani?

2. Pointi ngapi zitakazoongezeka kwenye zile 43 za sasa?

3. Kama pointi zikifika tatu, tumuombe Mo awape uto point zote tatu bureee ili nao wapande pande kidogo kwenye caf club rankings. Si mnajua waswahili wanasema kizuri kula na wenzio?
Bilion 2 na kama milioni 800 hivi ya kutolea.

Atapata point 4 ambayo itazidishwa mara 5 ambayo itakuwa ni 20

Uto sio level zetu maana wao tayari wanajiandaa kuwakabili Pyramids kwenye fainali yao ya Club Bingwa maana Chama alisema amekuja Yanga ili achukue Ubingwa wa Caf Champions League.
 
Mnyama to the final 🦁🤲🤲
1745776156890.png

Hongereni Simba Sports Club
 
Bilion 2 na kama milioni 800 hivi ya kutolea.

Atapata point 4 ambayo itazidishwa mara 5 ambayo itakuwa ni 20

Uto sio level zetu maana wao tayari wanajiandaa kuwakabili Pyramids kwenye fainali yao ya Club Bingwa maana Chama alisema amekuja Yanga ili achukue Ubingwa wa Caf Champions League.
Chama alikuwa na nuksi bora aliondoka.😂😂😂
 
Bilion 2 na kama milioni 800 hivi ya kutolea.

Atapata point 4 ambayo itazidishwa mara 5 ambayo itakuwa ni 20

Uto sio level zetu maana wao tayari wanajiandaa kuwakabili Pyramids kwenye fainali yao ya Club Bingwa maana Chama alisema amekuja Yanga ili achukue Ubingwa wa Caf Champions League.
Masikini Chama...😌😌😌
 
Endeleeni kuangalia mi nimevaa earpods nakula zangu mziki huku sauti nimeweka hadi mwisho ili nisi bugdhiwe na visauti vya redio vya hapa mtaani vinavyotangaza mechi.
Wewe ni Mimi dakk ya 70 nilitoka nikaenda home vaa earphones saut full check movi nikasubr tokea la mwisho nawasha redio ufm nasikia mtangazaji anaimba siiimba siiimba mi woyoooooooooo
 
Constantine kashinda kwa goli 1 nyumbani, hivyo aggregate (jumla) ni magoli 4 kwa RSB Berkane na Constantine 1.

Fainali/Hitimisho
17 May 2025
RSB Berkane vs Simba SSC
Morocco

25 May 2025
Simba SSC vs RSB Berkane
Benjamin Mkapa Stadium
(Lupaso)
Dar es Salaam, Tanzania
Ungemalizia machinjioni.
 
Back
Top Bottom