okk ndo tunasubiri mda u rush !Match Day
Yanga SC vs Simba SC
Muungano Cup Final
New Amaan Complex
29.04.2026
2015hrs
HahaaqNina hofu na kocha wa Yanga! Hachelewi kuja na mfumo wake wa kikuda wa kucheza nyuma, na hivyo kuwongezea ujiko mbumbumbu fc.
Msimu huu timu ya Yanga wamepata benchi la ufundi la kawaida sana na derby zote za msimu huu tunaombea mpira uishe. Ngoja tuone kuongezeka kwa Moalin kama kutaleta mabadiliko dhidi ya Simba. Simba wataingia kwa approach ile ile ya derby iliyopita, kucheza mpira wa kasi na kufanya high pressing ili kuwin mipira na kubaki kwenye umiliki wa mchezo, mabeki na viungo wanakazi ya kufanya kwa dakika 20 za mwanzoni.Nina hofu na kocha wa Yanga! Hachelewi kuja na mfumo wake wa kikuda wa kucheza nyuma, na hivyo kuwongezea ujiko mbumbumbu fc.
Sahihi kabisa,Msimu huu timu ya Yanga wamepata benchi la ufundi la kawaida sana na derby zote za msimu huu tunaombea mpira uishe. Ngoja tuone kuongezeka kwa Moalin kama kutaleta mabadiliko dhidi ya Simba. Simba wataingia kwa approach ile ile ya derby iliyopita, kucheza mpira wa kasi na kufanya high pressing ili kuwin mipira na kubaki kwenye umiliki wa mchezo, mabeki na viungo wanakazi ya kufanya kwa dakika 20 za mwanzoni.
Mbona kama mmeanza kugawa kijiti mapema kabla hata ya mchezo wenyewe?Sahihi kabisa,
Na Simba wameimarika sana maeneo mengi.
Mwalimu ameanza kushika mwendo mzuri.
Kazi ipo Leo 🔥 🔥 🔥 😂 😆Leo leo leoooo kazi ipo leoooo....(Malizia tusi 😁)
Mbona huu uzi umeuandika kinazi sana mkuu? Unapaswa kuwa na heshima kwa Mnyama.MATCH DAY
Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji.
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Yanga SC wanaingia katika mchezo huu kama mabingwa watetezi, huku watani zao Simba SC Wakisaka kuivua ubingwa Yanga SC.
Ikumbukwe kwamba Yanga SC wamepata ushindi kwenye mechi zote ambazo wamecheza Muungano Cup kwa kufunga jumla ya magoli 6 na wakiruhusu goli moja dhidi ya Azam FC.
Katika mechi hizo zote mbili Man of The Match alitoka Yanga SC, mchezo waliopata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Muembe Makumbi ni Shekhan Khamis na mchezo wa magoli 2-1 dhidi ya Azam FC ni Duke Abuya alitwaa tuzo hiyo.
Wanakutana na Simba SC iliyopata ushindi wa jumla ya magoli manne kwenye mechi mbili ndani ya dakika 180, Simba SC 1-0 Mafunzo na Simba SC 3-0 Mlandege FC.
UnaotaYANGA BINGWA
Watesi wa Mnyama hao.Mbona huu uzi umeuandika kinazi sana mkuu? Unapaswa kuwa na heshima kwa Mnyama.
Mbona poa kabisa MkuuMbona huu uzi umeuandika kinazi sana mkuu? Unapaswa kuwa na heshima kwa Mnyama.
Wako vizuri sana kwa sasa...Leo mbona nawaogopa simba hivi. Ngoja tuone itakuwaje