Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

Coach wa Yanga atulize kichwa
Simba watakuja na mfumo wa kufanya uwanja Kwa maana ya kutumia wings zao akina Oura na Libase

Coach wa Yanga aje na approach ya kubana uwanja kupitisha mpira kati maana Simba watakuwa wanaacha gap

Binafsi naomba Pacome acheze kwenye form yake
Leo mechi ni ngumu sana kwa upande wa Yanga
 
SIMBA AKIFUNGWA TEGEMEENI KUSIKIA "REFA NI MJOMBA WAKE NA DUKE ABUYA"🤣🤣🤣 Hawanaga akili hawa
 
Huyu kocha wa Yanga anapata wapi ujasiri wa kumuacha Duke Abuya nje!!
 
Back
Top Bottom