Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

😂😂😂 umekata tanaa kabisa Tata
Kuna tofauti kubwa kati ya Yanga ya Miloud Hamdi na Miguel Gamondi, na Yanga hii ya Mreno Goncalves nani sijui! Tukipata hata sare tu kwenye mechi ya leo tutashukuru.

Simba mnatakiwa mumlinde sana Steve Barker. Safari hii kocha mnaye. Kiukweli ameibadilisha sana simba ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom