Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

Oktoba 29 imewaondolea Watanganyika walau ile furaha kiduchu waliyokuwa nayo.
Hakuna kitu kama hicho bwana hapa kwenye mji ninapo kaa nilichelewa kidogo kwenda vibanda umiza nimezunguka mji mzima vibanda umiza vyote vimetapika mpaka mm na washikaji wengine tukarazimika kurudi kwenda kuangalizia nyumbani tu.
Suala la jf kukosa wachangiaji ni janga la jf nzima na sio kwenye jukwaa la michezo tu, kiujumla tangu jf imefungiwa kwa figisu za fisiem wachangiaji wengi sana wamepungua sana sasa sijui watz wengi hawajui kutumia vpn au la japo kuwa imesaidia kupunguza nyuzi za hovyo.
 
Back
Top Bottom