aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
mechi imeisha?Simba bingwaaaaa
mechi imeisha?Simba bingwaaaaa
KabisaJumapili ndipo tutajua fitness ya mchezaji mmoja mmoja. Maada dk Mia ishirini si kitoto.
🦁🦁Nani Kashinda..?
Mbona unatutukana sasaNyie wote ******* mbona matokeo hamweki kuwa nani kachukua hilo kombe la mbuzi
Roho mbayaTimu zote mbovu, hamna burudani yeyote leo kutoka pande zote.
Bahati nzuri sijaanza kuita leo.Mmeanza kuita bonanza sasa
We Mzee kalale tena wajukuu uwaamshe shule mapemaBahati nzuri sijaanza kuita leo.
Labda bingwa wa kikombe cha chaiYANGA BINGWA
Nimesahau moderator naona wamekuwa wazembe nawatest kidgMbona unatutukana sasa
Utopolo bhanaKolo ni pombe ya ngomani kwa Yanga
Vipi ngapi uko mtani 🤣Yanga anashinda 3