Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

Mechi inayofuata tarehe 3, Yanga hapati ushindi pia. Benchi la ufundi la Yanga nilishasema tokea awali hamna kitu mle. Mechi kubwa zote zina mshinda kuzicheza na kupata matokeo ya ushindi.
 
IMG-20260430-WA0000.jpg
 
Kumbe ndiomaana chama akamkabidhi mpira mwalimu.
Chama anajua,, alimuonya sele kua huyo jamaa asishike mpira, na zaidi kasema Kuna betri anaenda kuchomoa mechi ijayo ..kawaambia waandishi wa habar wamtafute baada ya mechi atawaambia Zaid 😀😀😂
 
Mechi inayofuata tarehe 3, Yanga hapati ushindi pia. Benchi la ufundi la Yanga nilishasema tokea awali hamna kitu mle. Mechi kubwa zote zina mshinda kuzicheza na kupata matokeo ya ushindi.
Hata ikitokea ameshinda kwenye mechi chache, hatushindi kwa kumzidi mpinzani uwezo kama ilivyokuwa zamani. Ni kocha wa kufukuza tu
 
Jana nilivyoona tu kipindi cha kwanza kimeisha 0-0 nikaona shughuli imeishia hapo. Kipindi cha pili benchi hili huwa hawajui kitu gani wafanye kimbinu na kiufundi zaidi ya kuua timu. Na kweli wakaendeleza vile vile kwa sub za hovyo.
 
Mechi inayofuata tarehe 3, Yanga hapati ushindi pia. Benchi la ufundi la Yanga nilishasema tokea awali hamna kitu mle. Mechi kubwa zote zina mshinda kuzicheza na kupata matokeo ya ushindi.
Tukubali tukatae, kocha wa simba Steve Barker ana mbinu zaidi kuliko kocha wa Yanga. Hata kwenye usajili wa dirisha dogo Simba wamesajili wachezaji walioingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza, huku wale wa Yanga wakiwa hawana uhakika.
 
Angalia hata sub zake alizofanya jana! Nyingi zilikuwa hazina tija. Duke Abuya alitakiwa aanze, ila yeue akaona aanzie nje! Kipindi cha pili akatoa wachezaji wazuri, akaingiza wapya ambao waliifanya timu ikose uimara.
 
Leo tunawagonga kwenye Mshono...

Tunafumua kidonda
 
Angalia hata sub zake alizofanya jana! Nyingi zilikuwa hazina tija. Duke Abuya alitakiwa aanze, ila yeue akaona aanzie nje! Kipindi cha pili akatoa wachezaji wazuri, akaingiza wapya ambao waliifanya timu ikose uimara.
Aanza leo tuone makali yake
 
Tukubali tukatae, kocha wa simba Steve Barker ana mbinu zaidi kuliko kocha wa Yanga. Hata kwenye usajili wa dirisha dogo Simba wamesajili wachezaji walioingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza, huku wale wa Yanga wakiwa hawana uhakika.
😂😂😂 umekata tanaa kabisa Tata
 
Back
Top Bottom