Leo mechi ni ngumu sana kwa upande wa YangaCoach wa Yanga atulize kichwa
Simba watakuja na mfumo wa kufanya uwanja Kwa maana ya kutumia wings zao akina Oura na Libase
Coach wa Yanga aje na approach ya kubana uwanja kupitisha mpira kati maana Simba watakuwa wanaacha gap
Binafsi naomba Pacome acheze kwenye form yake
Watesi kivipi mkuu? Kwani mnyama unamuonaje?Watesi wa Mnyama hao.
Mechi ni ngumu Kwa SimbaLeo mechi ni ngumu sana kwa upande wa Yanga
Pale hamna kocha msimu ukiisha mtafute kocha msije mkaenda kuaibika huko kimataifaNina hofu na kocha wa Yanga! Hachelewi kuja na mfumo wake wa kikuda wa kucheza nyuma, na hivyo kuwongezea ujiko mbumbumbu fc.
Kolo wameingia sana upepoLeo leo leoooo kazi ipo leoooo....(Malizia tusi 😁)
😂😂😂Makomandoo wa simba waweke mifupa ya nguruwe uwanjani...
Leo tunacheza na majini watupu...
Mtanambia...
Yanga anashinda 3Leo mechi ni ngumu sana kwa upande wa Yanga
Huyo MC ndo mtangazaji ?View attachment 3581239
Refa Mkenya
Wale wanaotangaza sub, dakika za nyongeza na man of the match ndio McHuyo MC ndo mtangazaji ?
Anachukua pakome ……. anapiga chenga mbili tatu yakhee…….anapiga shuti …. Basi goli. [emoji23]
Inapendeza...