SanaaaInapendeza...
Oktoba 29 imewaondolea Watanganyika walau ile furaha kiduchu waliyokuwa nayo.Sitaki kuamini nyuzi za derby zinekosa mvuto kiasi hiki Jf, gone are those days.
Nina siku nyingi sana sijapita huku (almost 6 months) leo kwasababu nimeshindwa kuicheck game nikasema nije huku niokote updates nakuta 39 replies.Oktoba 29 imewaondolea Watanganyika walau ile furaha kiduchu waliyokuwa nayo.
Live ranginya blue ! Jf wanazingua sanaHiyo rangi ya blue huioni?
Tumeizoea rangi nyekunduHiyo rangi ya blue huioni?
From Red to buluuLive ranginya blue ! Jf wanazingua sana
Haya matimu ya Kariakoo yamepoteza mvuto kwa sababu ya kuingia kwenye siasa.Nina siku nyingi sana sijapita huku (almost 6 months) leo kwasababu nimeshindwa kuicheck game nikasema nije huku niokote updates nakuta 39 replies.
Daaah kweli waTz tumebadilika.