SubutuuuuHii tunawala lakini
Suburi uone TunavowanywaHii tunawala lakini
Ni noma sanaSuburi uone Tunavowanywa
Ni swala la muda usikimbielabda kushinda njaa
Je na seleman Mwalimu ni mchezaji wa Mech gani ?Nimegundua Depu ni mchezaji wa mechi ndogo.
Ues30' tena duhhh!!
Wamechoka tuYanga wanataka penati ama?
Kinawalamba sasaWamechoka tu
Mmeanza kuita bonanza sasaHili bonanza linawachosha tu wachezaji.