FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kweli. Timu yetu ni mpya. Hatuna pressure. Utopolo FC wanapenda hii
 
Hii jezi wachezaji wameshuka nayo kutoka kwenye basi ni ya moto saana, ilifaa kuwa jezi rasmi.

Sijui waliogopa nini.. Ni kama ya arsenal fulani hivi.
 
Hii jezi wachezaji wameshuka nayo kutoka kwenye basi ni ya moto saana, ilifaa kuwa jezi rasmi.

Sijui waliogopa nini.. Ni kama ya arsenal fulani hivi.
Eti kama ya arsenal!!! Endelea kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…