Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Simba imebadilika, jambo jema hiliYanga Wanachezewa Mpira Mpaka wanapack bus hapa
Wanafurahisha Sana sema tu wamecheza kati kati ya wiki Ningewapongeza na Bia ngapi ngapi leoSimba imebadilika, jambo jema hili
Mimi nilisema mapema. Kocha karogwaShomari tumuage kwa heshima.
Tusije kumbwaga kama Manula..
Kazipeleka kwa yule mrembo wa Dar