FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Huyu pacome ni mimi mtupu, ananikumbusha enzi zangu, natema mate kushoto, unafukia kulia, kama naenda lakini siendi kama hutaki nenda wewe, mtu akikabwa anaambiwa mpasie makaveli..

Aahh.. Makaveli mimi, wakati ukuta, ningesikiliza wadau sahizi ningeluwa mbali.
 
Back
Top Bottom