FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Wazee wanakimbizwa balaa
Mkuu mechi inaoneshwa Azam sport hd 1 huo mpira unaoangalia wewe ukaona wazee ndio wanaokimbizwa sijui unaagalia wapi au umelrwa? Watu walishaingia kwenye mfumo wa Gamondi kila saa wanapelekewa moto tu
 
Hawa waseng wa makolo ngoja tuwalambe maana X hatongozwi.
 
Mbwa wewe , sichezi na wewe tena
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’›πŸ’šπŸ§‘
 
Mpiraa mchezo wa wazi haudanganyi mwenye macho kaona
Uyu Refa akichezeshaga mechi za Yanga, Yanga uwa inapata tabu Sana ana maamuzi mabaya dhidi ya Yanga ata iwe Yanga anacheza na timu ndogo.
Mwenye kuelewa naomba anieleze Lile Goli lililo katakiwa tatizo ni Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…