FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kabisa.
 
Cookie nafanyaje nisione comments za Mashabiki wa Yanga?

Ukiwepo wewe. Una elements zote za kitopolo. Simba kapigwa kimoja unakuja kupiga ng'eng'a eti dakika 45 zimebaki.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pale mbele kwenye Kiungo cha mwisho kwenda Kwa forward bado kuna shida mipira haifiki inablokiwa sana... Simba mmetemgeneza nafasi lakini kupiga penetration pass ndo kisanga.... Anyway sio mbaya ila hii n derby mi siwezi ila credit Simba Hadi kwenye game za kawaida siwezi jua labda wamejitoa mhanga Tu
 
H
Hivi kwanini huyu Kapombe bado anaanzishwa hizi big game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…