FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Tunawajua msipo meza dawa za ukichaa ndio zenu
 
Hiki kikosi ni cha mauaji. Hata ikitokea kikapoteza kwenye hii mechi (ingawa mpaka sasa tayari kiko mbele kwa goli moa!), hakika sitakuwa na deni na mwalimu Gamondi.
Simba wamezidiwa kila idara.
 
Yeah!..hiki kikosi kinaleta matumaini kwa siku za usoni...tumevuka pakubwa Sana.
 
Kila siku nyie ni watu wa maboresho, ni lin mtatuonesha matokeo ya investment zenu

Too much excuses , Yanga has been better for 2 years now . Ni kwamba Leo ndio mnajua kuna shida upande wa kulia na kapombe anahitaji mbadala? Bado mpo kwenye traditional football wakati Yanga anaitafuta professional football

The worst enough , hamjawahi kuwa serious na hamtokuwa

Kama mnadhan Yanga anajoke, endelea na excuses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…