FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kabisa Mzamiru haileweki anacheza FullBack ama anacheza Midfield ama anacheza nini yaani ilimradi kakimbilia Mpira tu hovyo hovyo..

Yaani Tuna Central Midfield Mbovu Sana Huyu sikuona Haja ya Kuendelea kuwa naye kwenye Kikosi sana Mzigo tu
Sijui ndio uchawi, misimu kama miwili hivi mzamiru kaisha, lakini yupo tu, au anagawana posho na kiongozi mmoja pale msimbazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…