black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
๐๐๐Cookie wapige ban mashabiki wa Simba kama huyu! Wanalalamika sana wanaweza kupata heartburn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Cookie wapige ban mashabiki wa Simba kama huyu! Wanalalamika sana wanaweza kupata heartburn
Hako kanahitaji moto. Kampelekee.Dr Restart tumpe ephen_ diazepam au lorazepam?
Sur name fernandez?Kulikuwa na Debora Mwenda RTD miaka hiyo,wana undugu?
๐๐๐๐๐๐๐Nani kampa mkorogo Chemalone?๐ฅน
Atawezanaa?๐คHako kanahitaji moto. Kampelekee.
InongaNani kampa mkorogo Chemalone?๐ฅน
Dogo usiniquoteAtawezanaa?๐ค
Usinitajetaje basiiiiiDogo usiniquote
Kameshapokea bahashaHaka karefa kafala nacho.
efen hebu chukua pipo yako hiiiii
naona leo imepotea njiaa ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
Nitafanya hivyo Dr na nitakafuga kabisa nipe mda tu master๐Hako kanahitaji moto. Kampelekee.
Sijui ndio uchawi, misimu kama miwili hivi mzamiru kaisha, lakini yupo tu, au anagawana posho na kiongozi mmoja pale msimbazi..Kabisa Mzamiru haileweki anacheza FullBack ama anacheza Midfield ama anacheza nini yaani ilimradi kakimbilia Mpira tu hovyo hovyo..
Yaani Tuna Central Midfield Mbovu Sana Huyu sikuona Haja ya Kuendelea kuwa naye kwenye Kikosi sana Mzigo tu