Usituharibie server nenda kapunguze majiMkojo umenibana! Siendi hadi Tuongeze goli la pili
Asante madam
Ohhh, sorry mkuu, sikuwa ninajua
Naipenda simba asee, pokea usipokee ila simba mpka sasa wana mwelekeo mkubwa.Tulia bro utanipigia baadae niangalie mnavo kandwa hapa na Aziz
Ukijadili wewe inatoshaBadala mjadili namna ya kuikomboa hii nchi kutoka kwa mafedhuli, nyie mnajadili hayo matakataka yenu ya kariakoo
Mbona unavyojadili mambo ya Liverpool hatukufokeiBadala mjadili namna ya kuikomboa hii nchi kutoka kwa mafedhuli, nyie mnajadili hayo matakataka yenu ya kariakoo
Kila jambo na wakati wakeBadala mjadili namna ya kuikomboa hii nchi kutoka kwa mafedhuli, nyie mnajadili hayo matakataka yenu ya kariakoo
Uko wapiRefaaaa puliza kipenga hicho, 5imba watabada bao chumbani uwanjani hawawezi
Bora mjadili timu za nje zinazojielewa sio hayo matakataka ya kariakooMbona unavyojadili mambo ya Liverpool hatukufokei