Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ulivyowakumbusha isije kesho wakaanza kumsema MANGUNGU.
simba akichanga karatazake vyema ligi anachukuaHahaha 😆 simba tunajenga timu ila mnashika mbupu nasikia
Simba ina mashabiki wanaojielewa wanaielewa timu yaowanaojenga ni wachezaji na benchi la ufundi, sio mashabiki
Kwa ninisimba akichanga karatazake vyema ligi anachukua
hakuna timu hapo imejikaza kwa kuwa ni wapinzanisimba akichanga karatazake vyema ligi anachukua
Wazee fc 1 motto : Yanga bingwaHuyu Kibu Kafata Nini Humu Ndani Kmmmmmmmjkkk
Kocha Mjinga sana Wewe Unatuwekea Mizimu unaacha wachezaji
Hajauzwa tumemwacha aondokeNdio maama chama aliuzwa. Hapo amepooza nini sasa
Tunaamini hili...simba akichanga karatazake vyema ligi anachukua