FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Sasa watuambie Simba nayo inadhaminiwa na GSM?

Vipi hii mechi tumenuna?

Mmepokea bahasha Simba Kutoka kwa YANGA kiasi gani?

Maana ligi ikianza Yanga inanunua mechi, mechi tuliyowapiga tano mlisema Enonga, chama na beleke tuliwanunua, je Leo Nani tumemnunua?

Simba jengeni timu yenu vinginevyo hizo lawama hazitawaisha midomoni mwenu..

2024-2025 YANGA BINGWA.
 
Unajipa moyo tu mkuu , ligi ya Tanzania haihitaji mtu anayejitafuta Kama Simba utapoteza mechi 1 Msimu ujao wakati tukijitafuta Tayari yanga anaenda kuwa bingwa Tatizo viongozi wanasajili kwa mihemko
Wewe haujui mpira nimeona uzi wako unaosema shida ya Simba ni kukosa captain ambaye angeweza kusaidi ushambuliaji.

Yani hata majukumu ya captain ndani ya uwanja huyajui, ndio uweze kuongelea maswala complex ya technical bench kama hayo?
 
Haichekeshi hata😜πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…