Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
Wamesimbwa hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam ni tawi la simba... hata Timu ya tajiri ikicheza na Yanga wanakamia haswaaMakolo leo wamecheza faulo nyingi kwenye eneo lao alikua apigi filimbi,ila mchezaji wa makolo akiguswa tu filimbi,azam tv mizinguo na kwanini hawajarudia goli la pacome na faulo aliyochezewa aziz ki ndani ya box,ila faulo ya boka waneirudia mara kibao!
Kunywa sumuPumbafu Simba,timu dhaifu uongozi dhaifu
Nipigie mimi tu ,nakunywa chubuku hapa.Toka kwenye kelele nikupigie
KaoneAzam ni tawi la simba... hata Timu ya tajiri ikicheza na Yanga wanakamia haswaa
Usipoteze mda wako, mana mashabiki wa simba wamelikubali chama lao. Hta hao wenyewe wameuona mziki wetu mana walijua leo watashinda 8 majigambo mengiii kumbe hamna loloteWewe haujui mpira nimeona uzi wako unaosema shida ya Simba ni kukosa captain ambaye angeweza kusaidi ushambuliaji.
Yani hata majukumu ya captain ndani ya uwanja huyajui, ndio uweze kuongelea maswala ya technical bench kama hayo?
Kunywa sumuHakuna timu hapo Mo atuachie timu yetu, Ong bak aondoke
PoleeeeeKaone
Jipange ,simba ndio tuna pesa utajua haujui.
😂😂😂Mmemis kupigwa 5Usipoteze mda wako, mana mashabiki wa simba wamelikubali chama lao. Hta hao wenyewe wameuona mziki wetu mana walijua leo watashinda 8 majigambo mengiii kumbe hamna lolote
Kwangu mpira ni burudani zaidi kuliko ushabiki..
Mhmm unafkiPoleeeee