FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Makolo leo wamecheza faulo nyingi kwenye eneo lao alikua apigi filimbi,ila mchezaji wa makolo akiguswa tu filimbi,azam tv mizinguo na kwanini hawajarudia goli la pacome na faulo aliyochezewa aziz ki ndani ya box,ila faulo ya boka waneirudia mara kibao!
Azam ni tawi la simba... hata Timu ya tajiri ikicheza na Yanga wanakamia haswaa
 
Wewe haujui mpira nimeona uzi wako unaosema shida ya Simba ni kukosa captain ambaye angeweza kusaidi ushambuliaji.

Yani hata majukumu ya captain ndani ya uwanja huyajui, ndio uweze kuongelea maswala ya technical bench kama hayo?
Usipoteze mda wako, mana mashabiki wa simba wamelikubali chama lao. Hta hao wenyewe wameuona mziki wetu mana walijua leo watashinda 8 majigambo mengiii kumbe hamna lolote
 
FB_IMG_1723140136986.jpg
 
Back
Top Bottom