FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Wee mtani Vincenzo Jr...kumbe na hii ngao ina mshindi wa 3....kweli Yanga mboga mboga...
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜Kuna mshindi wa tatu humo πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜ TFF wanataka maokoto sema Leo wamezingua kukata umeme upande wa mashabiki kule
 
Hey tajiri Maxence Melo tuwekeee option ya voice note hapa jukwaani πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜Kuna mshindi wa tatu humo πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜ TFF wanataka maokoto sema Leo wamezingua kukata umeme upande wa mashabiki kule
I never knew ..mbona ngao ya mwaka jana haikuwepo tulipowabonda,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…