Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo imekuwa ajabu?Mmezidiwa Leo 🤣🤣
Ni suala la formation tu yanga wana 3-4-… wakati simba wana cheza traditional formation. Lazima yanga waonekane wengi katikatimYAnga wanaviungo wengi simba wanakazi kupita katikat
Thanks bro 🙏🏾🙏🏾🙏🏾Heshima yako mkuu
We jamaa ...😂😂😂😂Azizi kwisha habari yake kashanyonywa damu na lile plastic surgery
Mutale na kibu hawana tofautiNdiyo.
Anakimbia sana. Ila matokeo sifuri.
Anakosa maamuzi ya haraka.
Accuracy ya pasi zake ni ndogo mno.
Ana ubinafsi mno.
Mpaka sasa hana madhara yeyote yale..
Machachari bila maana.
Si ndiyo huyo Alipewa 'Disconnector'na Mpenja siku ya Simba Day...hili jina DEBORA na vinavyofanyika kwa pitch tofauti mkuu tutakutafutia jina lako