FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Mnashangilia ujinga tu
Toa sitiresi zako hukoooooπŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’

Nabadoooo muda wa wakubwaaaa mtaomba pooooooooo mbona πŸ’πŸ’πŸ’πŸ˜πŸ˜πŸ˜

Daima mbeleeeee πŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί!

Cc Smart911
 
Uyu Refa akichezeshaga mechi za Yanga, Yanga uwa inapata tabu Sana ana maamuzi mabaya dhidi ya Yanga ata iwe Yanga anacheza na timu ndogo.
Mwenye kuelewa naomba anieleze Lile Goli lililo katakiwa tatizo ni Nini?
Wanadai Yule aliyepiga pasi ya Bao alikua offside kabla mpira haujamfikia kutoka Kwa pre assist....
 
A Friendly Reminder: Wale wote walioweka ahadi kuhusu mechi hii, ahadi zao zitatekelezwa. Bado dakika 45
Asanteni
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
1720541713238.jpg
 
It's now official: Simba SC ni underdog wa Yanga SC. 😁
 
Uyu Refa akichezeshaga mechi za Yanga, Yanga uwa inapata tabu Sana ana maamuzi mabaya dhidi ya Yanga ata iwe Yanga anacheza na timu ndogo.
Mwenye kuelewa naomba anieleze Lile Goli lililo katakiwa tatizo ni Nini?
Refa wa simba uyo
 
Back
Top Bottom