FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ubaya umbwela
 
Uyu Refa akichezeshaga mechi za Yanga, Yanga uwa inapata tabu Sana ana maamuzi mabaya dhidi ya Yanga ata iwe Yanga anacheza na timu ndogo.
Mwenye kuelewa naomba anieleze Lile Goli lililo katakiwa tatizo ni Nini?
Hapo kosa ni lazimen sio referee
 
Ni kwa kipindi kirefu heshima ya SSC inepties sana na Yanga has proven to be better over SSC. Kama unaweza kufungwa mara nne mfululizo, nadhan SSC IRIDI KWENYE UBAO. Ni aibu sasa
 
Back
Top Bottom