FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Pacome anafundisha watu 20 uwanjan namna ya kucheza mpira
Huyo Pacome alikuwa anacheza winga ya kulia, baada ya kuona kule mambo yamekuwa magumu aka switch kushoto.

Kushoto kakutana na Kapombe ambaye leo hana mchezo mzuri.

Kipindi cha pili sijaangalia ila kama Kapombe bado yumo basi Pacome lazima apate cha kusema.
 
Back
Top Bottom