pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Atakua kapewa bahasha...Tabora Utd wamwambie Yacouba aache Usengerema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua kapewa bahasha...Tabora Utd wamwambie Yacouba aache Usengerema
InjiniaAnaye Muelewa Refa Nani
nimesema na kasha pigwa kadi mpumbavu huyuhuyu kipa anatafuta kadi kwa nguvu ili maneno yawe yanga anapendelewa
kipa akaikaa vibaya atalabwa umeme, ana ujinga mwingi
Washaufanyia kafara?Ni aibu Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyetu, nimesikia huo uwanja Azzam wameshaanza uswahili.
sema unaweka mahaba tabora hachezi mpira anacheza faulo na kupoteza mudaRefa anazingua sana
anatafuta penati umeionaRefa kuna kitu anakitafuta
Anawavuruga kisaikolojia wachezaji wa Tabora hatimae katoa Penati ya aibu sanaHali si nzuri kwa yanga refa anafanya vitu vya aibu sana tff tunawaomba sana marefa wa hivi hawafai!
Acha kutafuta sababu, huna teamNi aibu Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyetu, nimesikia huo uwanja Azzam wameshaanza uswahili.
Tayari wamepewa penati Zitatulia wakipewa tutarefa nae filimbi zimezidi