Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Namuona injinia anavyoandaa bahasha za half time, ngoma ishakuwa ngumu hii
mi namuona daktari anavyoandaa syringe
1730993891918.png
 
Mmemuona Azizi Ki saizi yupo ndani na hakuna kitu anafanya.

Then akitoka nje anageuka kuwa kocha msaidizi kuanza kuwa lecture wenzake.

Anaona ni rahisi kuwaambia wenzake cha kufanya wakati yeye akiwa humo ndani anashindwa kutekeleza
 
huyu kipa anatafuta kadi kwa nguvu ili maneno yawe yanga anapendelewa

kipa akaikaa vibaya atalabwa umeme, ana ujinga mwingi
 
Back
Top Bottom