kicheko kinakera hiki haha.
Kumbe kwenye fabo nawe upo...alafu utakuwa thimbaaaa weweππππKazi wanayo Leo
Nikweli sio kawaida haiwezekan mpira uchezewe tabora kwa dakik nyingi then wapand mara moja tu na wafungeWadau kina zipompa Dr Matola PhD wameshuku huo uwanja umefanyiwa uswahili....πππ
Adui muombee njaaπ€£π€£Kwahiyo Wanangu wa Simba Sports mnatamba π π π
NA kayoko kabisaSitaki kuamini kua bila job,bacca yao na boka timu inakua down kiasi hiki?
Nakuwaje utopolo mm JamaniKumbe kwenye fabo nawe upo...alafu utakuwa thimbaaaa wewe
ππππ
Hapa nakubali uchambuzi wako mwanawane, one mistake one goalKuna kuotewa mwanawane sii unaona Leo walivyootewa jamaa hapa...wenzao wakilenga goli tuu ujue imoooo
Alryt...Leo jamaa wameotewa. Ila goli tatu nyingi nyieeeNakuwaje utopolo mm Jamani
Timu y wazee ππ
Sitaki kuamini kua bila job,bacca yao na boka timu inakua down kiasi hiki?