mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
kicheko kinakera hiki haha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kicheko kinakera hiki haha.
Kumbe kwenye fabo nawe upo...alafu utakuwa thimbaaaa wewe😂😂😂😂Kazi wanayo Leo
Nikweli sio kawaida haiwezekan mpira uchezewe tabora kwa dakik nyingi then wapand mara moja tu na wafungeWadau kina zipompa Dr Matola PhD wameshuku huo uwanja umefanyiwa uswahili....😂😂😂
Adui muombee njaa🤣🤣Kwahiyo Wanangu wa Simba Sports mnatamba 😅😅😅
NA kayoko kabisaSitaki kuamini kua bila job,bacca yao na boka timu inakua down kiasi hiki?
Nakuwaje utopolo mm JamaniKumbe kwenye fabo nawe upo...alafu utakuwa thimbaaaa wewe
😂😂😂😂
Hapa nakubali uchambuzi wako mwanawane, one mistake one goalKuna kuotewa mwanawane sii unaona Leo walivyootewa jamaa hapa...wenzao wakilenga goli tuu ujue imoooo
Alryt...Leo jamaa wameotewa. Ila goli tatu nyingi nyieeeNakuwaje utopolo mm Jamani
Timu y wazee 😂😂
Sitaki kuamini kua bila job,bacca yao na boka timu inakua down kiasi hiki?