Hayo ni maoni yangu tu. Binafsi naona kama kuna kitu hakipo sawa kwa upande wa benchi la ufundi. Hivyo mabadiliko hayakwepeki ili timu irejee kwenye ubora wake.Mbona mapema hivi nyie mashabiki wa Yanga? Mbona hata Ulaya timu kubwa kabisa huwa zinafungwa na timu ndogo na na huwa inachukuliwa kama sehemu ya mchezo. Kufungwa mechi 2 tu, Mnataka benchi la ufundi lifukuzwe?
Majuzi tu hapa Barcelona imefungwa magoli 4-2 na timu inayodhaniwa kuwa ndogo. Hamuwezi kuwa mnashinda tu kila mchezo. Kuna kupanda na kushuka. Tuwe wavumilivu tunapofungwa kama tunavyofurahia timu inaposhinda.
Key player aliyekosekana ni Kayoko tuKwa kuzingatia ugumu wa mechi na ukosefu wa key players wengi
Yanga 2
Tabora 0
Nyimbo gani?Kibwana apewe nafasi acheze leo
GymSasa match fitness ataipata wapi asipocheza?
Unateseka ukiwa wapi madam?Naomba kuuliza tunacheza na Tabora au tunacheza na madunduka?
Mnafurahia kama madunduka ndiyo wameshinda.
Tabora, Tabora, Tabora muulizeni Ihefu, mtalipia hili pakubwa mavichwa yenu mshxxxxiiieeww...
😅😅 watashinda tu , yanga inafungwaje?Nini kifanyikee kipindi cha tatu
Mkude na Sure Boy wana uwezo wa kucheza namba ya Aucho! Lakini hawapewi nafasi. Kwa hali hiyo baadhi yao watahindwa vipi kuwa na fatique!! Wachezaji kila mechi ni wale wale! Na wanacheza mpira ule ule!!Ninachokiona ni uchovu tu wachezaji wametumika sana week hizi mbili non stop na majeraha kadi tena sehemu zile muhimu muhimu sana.
Yaani aucho ndiyo wa kuzima beki ya kati kweli?
Tunawakumbushabtu huko CAF CL wanafumua sana mishono na uchovu wenu.Ninachokiona ni uchovu tu wachezaji wametumika sana week hizi mbili non stop na majeraha kadi tena sehemu zile muhimu muhimu sana.
Yaani aucho ndiyo wa kuzima beki ya kati kweli?
Lakini mashabiki wao huwa wanadai kipa wao hata mishale huwa anadaka! Sijui leo imekuwaje?Wachezaji wa Yanga muache kudharau timu zingine. Mtaweka historia ya kufungwa na timu zote zinazoibukia ligi kuu. Nyinyi mazoezi makali kwa madunduka tu timu zingine aaahhh.
Ila Tabora nao wachawi, pale kipa alikuwa anaona mishale tu, wee kuweza?
Yanga Kuna watu walisajiliwa kiuongouongo. Mechi ya Leo kama mkude angekuwa fit ndiyo mechi zake.Dalili ya mvua ni mawingu. Timu ilianza kwa kupata ushindi wa kagoli kamoja! Mwishoni imeanza kupokea vichapo mfulilizo.
Kafukue hata makaburi ya nyuma wakati namsifia! Kwa bahati mbaya ninaongelea wakati huu na ule ujao. Hapa siongelei mambo yaliyopita.Hapa Gamond alikuwa clean kabisa
Na imekuwa kweli.Mayanga yatafungwa tuko hapa.
Kama walivyo tu Tabora United. Wao pia wamechoka, hivyo ni ngoma draw.Ninachokiona ni uchovu tu wachezaji wametumika sana week hizi mbili non stop na majeraha kadi tena sehemu zile muhimu muhimu sana.
Yaani aucho ndiyo wa kuzima beki ya kati kweli?