Sio nyuki kweli!!?
HΓ wΓ kukusikia, rudia tena.Leo kuna magoli mengi nashauri tabora wagome kuingiza timu waepuke aibu!
Ila madunduka nasikia wamefunga njia huko chamazi wanasheherekea kufungwa kwa Mabingwa wa wakati wote. Ila kama furaha yenu, huja tukifungwa endeleeni. Ikija zamu yenu mtulie tuli kama mnanyolewa zivu.
Sayansi haihitaji yote hayo mpaka kwa wakati wake.Nunua kaniki, tunguli na usinga ingia mzigoni. Hizi sarakasi hazisaidii.
Mkishinda Mimi shogaAll the best Young Africans Sports Club, The Best Team in East and Central Africaβ½
Pole mtaniππππkicheko kinakera hiki haha.
Lini ulikuwa hauoni?Leo ndo naona kwanini nkane anakula mbao
Hii post sikuiweka leo, niliiandika kwenye thread ya Yanga na Singida; naona modereta kaileta hapa kwa kusudi fulani hivi.Ushindi wa Yanga wa kabao kamoja kamoja kweli haunipi faraja yoyote; ni kama Yanga imeanza kuishiwa pumzi.
π